Home >  Term: Megabaiti
Megabaiti

Kilobaiti 1024, inyoandikwa MB, hutumiwa kutaja ukubwa wa mafaili au midia kama vile viendeshi vikuu. Inahusu kiasi cha taarifa katika faili au kiasi gani cha habari kinaweza kuwekwa kwenye kiendeshi kikuu au diski.

0 0

Creator

  • Ann Njagi
  •  (Gold) 2927 points
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.