Home >  Term: biti
biti

biti, ambayo inasimamia kwa tarakimu jozi, ni kitengo kidogo cha habari tarakimu. Biti nane sawa Baiti moja. picha za tarakimu mara nyingi kueleza idadi ya baiti zinazotumika kuwakilisha kila pikseli. yaani mfano 1-baiti ni monokromu; picha -8-bit inaauni rangi 256, wakati baiti 24 au 32 inaauni rangi ya kweli.

0 0

Creator

  • Ann Njagi
  •  (Gold) 2927 points
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.